Zuhura yunus biography graphic organizer
Scholastic biography poster report.
Zuhura yunus biography graphic organizer
Zuhura Yunus
Zuhura Yunus | |
Amezaliwa | 1969 London, Uingereza |
---|---|
Nchi | Tanzania |
Kazi yake | utangazaji |
Zuhura Yunus (alizaliwa London, Uingereza, 1969) ni mkurugenzi wa mawasilianoIkulu na mwanamke wa kwanza kushika nafasi hiyo Tanzania.
Ameteuliwa na RaisSamia Suluhu Hassantarehe1 Februari2022. [1][2]
Kabla ya hapo alikuwa mtangazaji wa BBC, idhaa ya Kiswahili, ambaye amekuwa mwanamke wa kwanza kutangaza kipindi cha Dira ya Dunia.
[3][4]
Maisha na kazi
Alizaliwa London na wazazi Watanzania[5].
Zuhura yunus biography graphic organizer pdf
Licha ya kuwa mtangazaji Zuhura Yunus alikuwa na ndoto ya kuwa Daktari, lakini aliachana na ndoto yake hiyo na kujiunga na utangazaji wa redioni mwaka 2000 nchini Tanzania.
Kabla ya kujiunga na BBC mwaka 2008 alifanya kazi ya utangazaji katika vipindi mbalimbali vya redio kama Redio Times FM na Uhuru FM nchini Tanzania.
Mwaka 2002 alifanya kazi ya uandishi wa habari katika gazeti la The Citizen. Mwaka 2008 a